Jumapili, 30 Juni 2013
Wapenzi wadondoka na kufa wakifanya mapenzi dirishani
Wapenzi wameanguka na kufa baada ya dirisha walipokuwa wakifanyia mapenzi kufunguka ghafla nchini China.
Wawili hao wanasemekana kudondoka kutoka kwenye dirisha la jengo moja la makazi kwenye jiji la Wuhan nchini humo pale dirisha hilo walilokuwa wameegemea kufunguka.
Mashuhuda walivieleza vyombo vya habari vya China kwamba wapenzi hao walikumbatiana wakati wakianguka kwenye njia ya waenda kwa miguu nje.
Kwa mujibu wa The Sun, chanzo kimoja cha habari kilisema: "Huku wawili hao wakiwa wameshikamana vilivyo, walianguka nje ya jengo hilo."
Picha za kuogofya zimefichuliwa kwenye tovuti za nchini humo zikionesha wapenzi hao wakiwa wamefunikwa kwa mashuka na polisi.
Damu ilitapakaa kwenye njia ya waenda kwa miguu karibu na wapelelezi wanaonekana wakichunguza eneo la tukio.
Miili ya wapenzi hao ilipigwa picha karibu na baiskeli ambayo ilikuwa imelazwa chini, lakini hakukuwa na ripoti zozote kwamba yeyote chini alikuwa amejeruhiwa katika ajali hiyo.
Ripoti zinasema kwamba madirisha hayo kwenye jengo hilo la makazi yalikuwa hayana ubora unaotakiwa.
Inafikiriwa kwamba mwanaume huyo na mwanamke wanawezekana walikuwa wakijaribu kujipooza kando ya dirisha hilo ndipo tukio hilo likatokea.
Haikufahamika ni umbali gani kutoka juu wawili hao walikuwa wakati wakianguka.
Wuhan ni jiji maarufu zaidi lililopo katikati ya China.
Ukiwa na historia ya miaka 3,500 ni moja kati ya miji mikongwe na iliyostaarabika katika China.
Rihanna aanika nyeti zake bila chenga
Hii ni makusudi au ni
bahati mbaya, MUIMBAJI nyota wa nchini Marekani, Rihanna ameingia kwenye aibu kubwa baada ya kuanikwa tena hadharani ikiwa katika kipindi kifupi akionyesha nyeti zake.
Rihanna alinaswa na mapaparazzi akitanua beach, ambapo picha zilizonaswa ilionyesha utupu wake 'live' jambo ambalo limezua gumzo wakati akiendelea kusakamwa na tukio la kuachia 'upupu' wake hivi karibuni na kusisimua watu.
Mwanamke huyu kiboko katembea na wanaume 5000 kwa miaka 9 tu
Nikki ambaye aliibukia katika fani ya urembo anasema alifanya vitendo hivyo kwa muda wa miaka tisa sehemu mbalimbali alizokuwa akitembelea.
Anasema alikuwa anafanya ngono katika klabu za usiku, ndani ya ndege, mbuga za wanyama, sehemu za kupaki magari, ndani ya gari, sinema na disko.
Anasema kwamba alianza kufanya hivyo tangu alipotolewa bikira yake akiwa na umri wa miaka 16.
Anasema aliweza kufanya ngono na wanaume wawili kwa siku. "Nilikuwa nasikia raha ya ajabu na ndiyo maana nilipenda kufanya ngono wakati wote," anasema Nikki.
Alipokuwa na miaka 21 alifikisha idadi ya wapenzi 2,289 ambao alikuwa amewaandika katika kitabu chake chekundu.
"Hakuna mwanaume aliyepita mbele yangu asinitamani kwa waliotaka kufanya nami mapenzi nilifanya hivyo, kwa sasa nimeathirika na ngono," anasema Nikki.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)