Jumatatu, 1 Julai 2013

Njemba yanaswa ikizini na mke wa mtu na kulazimishwa kuendelea mbele za watu


Hii ajali imetokea huko Anambra State Nigeria baada ya Mke wa mtu kukamatwa na mumewe live
akifanya mapenzi na bwana wake wa pembeni.
Watu wakaona isiwe tabu wakachukua sheria mkononi na kuwalazimisha waendelee kufanya
mapenzi mbele ya umati wa watu.
Wakati yote hayo yanaendelea mwenye mke hakutaka kabisa kushuhudia badala yake
alienda nyumbani kumfungia mke wake virago.
Haya majanga yalitokea karibu kabisa na Chuo kikuu cha Anambra State.
Kazi kwenu mnaotoka na wake za watu mtakamatwa na kulazimishwa mfanye
sex hadharani kama sio kugandana.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni