Jumanne, 2 Julai 2013

Rais Obama, mkewe waonyesha malavidavi wakiondoka kurejea kwao

Rais Obama na mkewe Michelle Obama wakionyesha malavidavi kabla ya kupanda ndege yao kuiaga Tanzania baara ya ziara ya siku mbili nchini.
Wakiwa wameshikana kiuno kuelekea kwenye Airforce One yao
Wakipunga mkono kuashiria kuwaaga Watanzania hususan mwenyeji wake, Rais Jakaya Kikwete.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni