Jumatano, 3 Julai 2013

Wakenya wamcharukia Obama



WAKATI wa ziara yake ya siku tano barani Afrika akiwa  nchini  Senegal, Rais wa Marekani Barack  Obama  alinukuliwa  na  vyombo  vya  habari  akiyasisitiza  mataifa  ya  afrika  kuhusu  kutambua  uwepo  wa  MASHOGA  na  kwamba  haki  zao  za  msingi  ni  lazima  ziheshimiwe...
Kauli  hiyo  imewachefua  wengi  hasa  viongozi  wa dini  nchini  Kenya .
Jana, kiongozi  wa  kiislamu  alimuuliza  Obama  swali  gumu  sana  kwamba  "Atajisikiaje  endapo  atabaini  kuwa  watoto  wake  wa  kike  Sasha  na  Malia  ni  WASAGAJI?"
Kwa  mtazamo  huo huo, Wakenya  nao  wamepaza  sauti  zao  na  kumhoji  Obama  kwamba  "Angeupataje  urais  wa  Marekani  kama  baba  yake  mzazi  angalikuwa  ni  SHOGA  wa  kuliwa 'ndogo'.
Waafrika  wengi  wameanza  kumuona  Obama  kama  mtu  msaliti  na  mbinafsi.
Yeye  alizaliwa  baada  ya  wazazi  wake  kukutana  kimwili, mama  akabeba  mimba  na  hatimaye  akamzaa  yeye. Mungu  akambariki, leo  hii  ni  Rais  wa  taifa  kubwa  duniani. Iwaje yeye  azunguke  duniani  na  kutetea  mambo  ya  USHOGA na  ndoa  za  jinsia  moja? Huo  ni  ubinafsi..Sitaki  niseme  mengi.

Credti: Kenyan Daily Post

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni