Inadaiwa kuwa mwanadada huyo aliamua kuchukua hatua hiyo baada ya kukuta mpira wa kiume (condom) iliyotumika
ndani ya gari hilo kuashiria kuna mwenzake kamong'nyolewa punde. Mashuhuda wa tukio hilo wanatonya kuwa wakati analiwasha moto alikuwa
akisema kuwa hili gari ndilo linakutia kiburi mpaka kutembea na wanawake
zako ndani ya gari, tuone sasa ukitaka katembee nao vichakani....!
Jumamosi, 10 Agosti 2013
Wivu nouma! Demu achoma Range Rover Sport kisha kondomu aliyoikuta katika gari la boyfriend wake
Jumapili, 28 Julai 2013
HAWA NDIO WATU WENYE UWEZO WA KUTENGENEZA PESA ZAIDI WALIO CHINI YA MIAKA 30 WAKO KWENYE ORODHA YA FORBES
Lady Gaga Anaongoza Kwenye Orodha Ya Watu Maarufu wanaojihusisha na sanaa wenye umri chini ya miaka 30 Nchini Marekani kwa mwaka 2013.
2]Justin Bieber ametengeneza dola milioni 58
3] Taylor Swift ametengeneza dola milioni 55
4] Calvin Harris ametengeneza dola milioni 46
5] Rihanna ametengeneza dola milioni 43
6] Katy Perry ametengeneza dola milioni 39
7] Adele ametengeneza dola milioni 25
8] Jennifer Lawrence ametengeneza dola milioni 26
9] Kristen Stewart ametengeneza dola milioni 22
10] Taylor Lautner ametengeneza dola milioni 22
Kanye West, Kim Kardashian wafanya kufuru!
Kwa mujibu wa HipHopWired.com, West na Kardashian wamenunua vyoo vinne vya Gold vyenye thamani ya dola milioni moja.
Ebu angalia hizo picha kisha jiulize hii ni nini kama siyo kufuru na jeuri ya fedha?
Ebu angalia hizo picha kisha jiulize hii ni nini kama siyo kufuru na jeuri ya fedha?
Hujafa Hujaumbika! Binti anazaliwa bila pua wala macho sasa anajiandaa kufanyiwa upasuaji ili awe na viungo hivyo
Msichana Brave Cassidy Hooper (17) kutoka Charlotte, Kaskazini mwa Carolina Marekani aliyezaliwa bila pua wala macho anategemea kufanyiwa upasuaji mkubwa wa kurekebisha uso wake.
Brave anategemewa kufanyiwa upasuaji huo (July 31) mwaka huu ambapo inategemewa sehemu ya mfupa utaondolewa katika ubavu wake kwaajili ya kutumika kutengeneza paji la uso wake, mfupa huo utasaidia kama kiunganishi cha pua mpya atakayowekewa.
Msichana huyo ambaye yuko excited kwa ajili ya upasuaji huo mkubwa, tayari ameshafanyiwa upasuaji mara kadhaa kama sehemu ya maamdalizi ya upasuaji huo.
Imechukua miaka sita kwa madaktari kufanya mchakato wa kutengeneza misingi ya kufika hatua ya kuwa katika nafasi ya kutengeneza pua mpya kwa Cassidy.
Katika siku za nyuma, Cassidy alikuwa akitumia macho ya bandia, lakini kutokana na wazazi wake kushindwa kumudu gharama kubwa za $ 5,000 kila moja hakuendelea kuyatumia, kutokana na mahitaji ya kuyabadilisha kadri Hooper alivyokuwa anazidi kukua.
Hooper amesema yuko excited kwaajili ya upasuaji huo mkubwa ambao anaamini kama utafanikiwa utamfanya aweze kupata pua na kunusa kama binadamu wengine.
Mbunge wa CCM katika kashfa nzito ya biashara ya dawa za kulevya
HAKUNA ubishi kwamba biashara ya madawa ya kulevya mara nyingi hubebwa na hufanywa na watu wenye nazo au wenye madaraka fulani makubwa. Ni biashara ambayo ina faida kubwa na ya haraka pengine kupita aina nyingine yeyote ya biashara (halali na haramu).
Na kutokana na nguvu ya vyombo mbalimbali vya dola ulimwenguni katika kupambana na biashara hii, ni wazi kwamba bila kuwepo na connection za hali ya juu, utekelezaji wa biashara hii ungekuwa mgumu sana…
Ndio maana vita dhidi ya biashara hii haramu ni ngumu na ambayo inahitaji umakini wa hali ya juu zaidi katika kukabiliana nayo endapo kuna nia ya dhati ya kuitokomeza au japo kuipunguza.
Hivyo basi haishangazi sana (japokuwa hizi ni tuhuma tu) kusikia yale yaliyotajwa katika “barua kutoka Hong Kong” kwa miongoni mwa watanzania wanaosemekana kufikia hata 200 wanaosota katika jela za nchini humo kusikia majina ya watu waliotajwa katika waraka huo ambao bila shaka utapamba vyombo mbalimbali vya habari nchini Tanzania wiki kadhaa zijazo.
Kutajwa kwa wazi wazi kwa majina ya baadhi ya wanaotuhumiwa kuhusika na huku mwandishi wa barua hiyo akionya kwamba majina mengine zaidi yapo, kunaifanya barua hiyo kuwa tofauti kabisa na barua za kawaida au hata zile tambo za kisiasa kwamba “wanaohusika na biashara hii nawajua”
Miongoni mwa majina hayo, limo jina la Mbunge wa Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya CCM, Idd Mohammed Azan.
Barua hiyo (ambayo utaisoma hapa chini) inahitaji kufanyiwa uchunguzi wa kina. Lakini kutokana na ukweli kwamba imeainisha watu wanaosadikiwa kuhusika, bila shaka imelipa jeshi la polisi mahali pazuri pa kuanzia. Je,wanaotajwa kipato chao kinatokana na biashara gani zilizo halali? Ukaguzi wa vitabu vyao vya fedha unasemaje?
Jambo moja ambalo linasikitisha sana (endapo tuhuma hizi zitathibitishwa hususani kumhusu Iddi Azan) ni kwamba Jimbo au Wilaya ya Kinondoni ni miongoni mwa maeneo ambayo yanaongoza kwa vijana kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya. Je,ina maana Mbunge wake anahusika katika kuangamiza vijana au wapiga kura wa jimbo lake mwenyewe?
SOMA BARUA YENYEWE HAPA CHINI…
Siyo Balotelli tu, hata Waziri huyu wa kwanza mweusi wa Italia anabaguliwa kwa sababu ya rangi yake
ITALIA bado imendelea kukumbwa na wimbi kubwa la ubaguzi wa rangi pale Waziri wa Kwanza Mweusi alipotupiwa ndizi alipokuwa akihutubia katika mkutano wa Chama.
Waziri huyo wa Ushirikiano ni Muitalia wa kwanza mweusi aliyeteuliwa hivi karibuni na amekuwa akipata taabu sana kutokana na dhana ya ubaguzi iliyojengeka miongoni mwa raia wa Italia. Cesile Kyenge ni mzaliwa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye amekuwa akipigania haki ya wahamiaji kupata uraia wa kudumu wa Italia.
Muda mfupi kabla ya tukio hilo siku ya Ijumaa, wanachama wa mrengo wa kulia Forza Nuova waliandamana wakipinga kampeni ya Waziri Kyenge ya kutaka kumpa uraia mtu yeyote isipokuwa aliyezaliwa katika ardhi ya Italia.
“Uhamiaji Unaua” viliandikwa baadhi ya vipeperushi ambapo ndiyo ilikuwa kauli mbiu ya Forza Nuova wakimaanisha kuwa mauaji mengi yaliyofanyika Italia yalisababishwa na Wahamiaji.
Ingawa ndizi alizokuwa akitupiwa zilimkosa, Waziri Kyenge alijibu katika mtanda wa kijamii wa twiter “sad” huzuni kwa kutupa chakula hasa katika wakati huu wa mgogoro wa kiuchumi.
“Ujasiri wa kubadilisha hali ya mambo unatoka ndani mwa mtu” alisema waziri Kyenge.
Hata hivyo, Waziri Kyenge amekuwa akikabiliwa na matusi mara kwa mara hata kutoka kwa wanasiasa wengine. Mapema mwezi huu, Mbunge mwandamizi wa kaskazini anayepinga sheria ya uhamiaji alimtukana matusi na kumlinganisha na “orangutan” Hata hivyo aliomba msamaha baadaye.
Sababu ya kumtupia NDIZI ni kuwa imewaudhi FAR-RIGHT PARTY kwa kupendelea IMMIGRATION
** Integration minister Cecile Kyenge has angered far-rights groupsShe is attempting to make it easier for immigrants to gain Italian citizenship
OK, Ndizi Ilimkosa... she's tough... Angalia alivyokuja na JIBU kwenye TWITTER!!!
Although the bananas missed the stage where Kyenge was speaking, she responded to the gesture on Twitter, calling it "sad" and a waste of food, considering the economic crisis.
"The courage and optimism to change things has to come above all from the bottom up to reach the institutions," she added.
Bravo; Ni Tough... How backwards and behind the times the ITALIANS as country regarding
race Is?
Like What Nelson Mandela, used to say FIGHT THE GOOD FIGHT!!!... NEVER GIVE UP!!!!
Jumapili, 14 Julai 2013
Hawa ndiyo waliofanikisha Masogange na mwenzake kupelekwa 'Unga' Bondeni
HAKUNA sababu ya kumkamata ‘mchawi’ kwenye skendo ya Video Queen wa Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ kudaiwa kukamatwa na madawa ya kulevya nchini Afrika Kusini wakati ukweli upo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.
Watu mbalimbali ambao wamesoma sakata hili kwenye vyombo vya habari, walitoa maoni yao wakisema kuwa watu wanaotakiwa kuwajibishwa ni waliokuwa uwanjani hapo siku Masogange aliposafiri na kuruhusu mizigo ya mrembo huyo na mdogo wake, Melisa Edward ipite bila ukaguzi makini.
“Kuna uwezekano kabisa wa kuwajua watu hao,” alisema msomaji wetu, Mbande Kinaka, mkazi wa Kariakoo, Dar.
Risasi Jumamosi lilimtafuta Mkuu Kitengo cha Kudhibiti Madawa ya Kulevya Tanzania, Kamanda Godfrey Nzowa, alipopatikana na kuulizwa namna ya kuwabaini waliomruhusu Masogange akapenya na mzigo airport, alisema lazima watawapata.
Taarifa tulizozipata zinasema Agnes na mdogo wake Melisa Edward waliondoka nchini Julai 5, mwaka huu kwenda Afrika Kusini.
Sheikh mwingine amwagiwa tindikali
VITENDO vya kushambuliwa kwa viongozi wa kidini nchini vimeendelea baada ya Sheikh Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Said Juma Makamba amejeruhiwa vibaya kwa kumwagiwa maji yanayohisiwa kuwa tindikali na watu wasiojulikana juzi usiku akiwa nyumbani kwake jijini Arusha.
Shekhe Makamba, ambaye amelazwa katika Wodi ya Majeruhi kwenye Hospitali ya Mkoa wa Arusha ya Mount Meru, amejeruhiwa vibaya maeneo ya usoni, kifuani na mgongoni huku akiendelea na matibabu.
Akizungumza kwa tabu, shekhe huyo alisema tukio hilo lilitokea saa 5 usiku wa kuamkia jana nyumbani kwake kwa Mromboo Arusha, wakati akijiandaa kulala baada ya kutoka kuswali Swala ya Tarawei.
Shekhe Makamba ambaye pia ni Imamu wa Msikiti wa Sekei mjini Arusha, alisema baada ya swala hiyo alirejea nyumbani kwake akisindikizwa na vijana wawili ambao walikuwa wakiswali pamoja na kuingia ndani ya nyumba yake ili kulala.
Alisema hata hivyo, kabla ya kulala alikwenda kujisaidia katika choo cha nje na kwamba wakati akirudi ili aingie ndani akipitia nyuma ya nyumba ghafla alimuona mtu akiwa amesimama jirani na mlango.
Alieleza kuwa wakati akitaka kumwangalia zaidi alishtukia mtu huyo akiinua mkono na kumwagia maji yaliyompatia maumivu makali usoni na kifuani.
Aliongeza kuwa baada ya tukio hilo alianza kupiga kelele kuomba msaada ambapo majirani walijitokeza na kumpa msaada wa kumpeleka hospitali, kwa vile wakati huo macho yake yalikuwa hayaoni na wakati wote alikuwa akilia.
Pamoja na kujeruhiwa vibaya sehemu za usoni, kifuani na mgongoni, pia ana majeraha kwenye mikono na machoni na hali yake bado ni mbaya japo madaktari wanaendelea kumpatia matibabu.
Kaimu Katibu wa Bakwata Mkoa wa Arusha, Abdallah Masoud akizungumzia tukio hilo alieleza kushitushwa nalo akisema limefanana na lile la Katibu wa Bakwata Mkoa wa Arusha, Abdulaziz Jonjo ambaye mwaka jana alilipuliwa kwa bomu nyumbani kwake akiwa amelala.
Alisema kuwa matukio hayo yamekuwa yakijirudia huku wahusika wakishindwa kutiwa mbaroni na kudai kuwa matukio hayo yanahusiana na masuala ya kigaidi. Aliongeza kuwa pamoja na kutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi, lakini wamekuwa hawapati matunda ya kukamatwa kwa watuhumiwa ingawa alisema wanajulikana.
Kwa upande wake, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas alisema polisi wameanza uchunguzi wa tukio hilo na kwamba taarifa zitatolewa pindi washukiwa watakapotiwa mbaroni kwani uchunguzi bado unaendelea na kwamba hakuna mtu anayeshikiliwa hadi sasa.
Oprah Winfrey lands in Serengeti for private visit
ONE of the world’s recognised Television talk show celebrity Oprah Winfrey is touring Serengeti National Park for what is described as private excursion.
The woman
behind the popular ‘Oprah Winfrey’ shows, Oprah, who is also a famous
film actress and currently playing the role of Gloria Gaines in the 2013
movie ‘The Butler,’ is reportedly, going to be in or around the Serengeti National Park for the whole week starting this weekend.
“It is going to be Oprah’s private tour,” admitted Mr Paschal Shelutete the Public Relations Manager forTanzania National Parks (TANAPA) which manages Serengeti, the country’s second largest National Park, but which is also the most known.
Her private
excursion in the Serengeti, however, won’t prevent Oprah from meeting
and hold talks with the Deputy Minister for Natural Resources and
Tourism, Mr Lazaro Nyalandu who is also flying to Serengeti to welcome
the pop-culture doyenne and founder of television talk shows media
genre.
Ever since
she debuted in the 1985 film, ‘Colour Purple’ Oprah has starred in 28
other movies in addition to producing several Television Documentaries
and publishing three books.
Whether we
should expect her next film or TV documentary to be filmed in Serengeti
is yet to be seen but the country’s popular Park, home to the legendary
migration of over 2 million wildebeests and Zebras, the queen may be
interested to capture a bit of the spectacular show.
Winfrey has
remained the only African American to rank among America’s 400 richest
people nearly every year since 1995. With a net worth of US $800
million, Winfrey is believed to be the richest African American of the
20th century.
She has also
won, and nominated for, various outstanding awards including the
‘Academy Awards,’ ‘Emmy awards,’ ‘Golden Globe Award,’ ‘PGA Awards’ and
got named as best talk show presenter and host several times.
Winfrey has
remained the only African American to rank among America’s 400 richest
people nearly every year since 1995 and is believed to be the richest
African American of the 20th century.
She is also
generous because in 2004, Winfrey became the first black person to rank
among the 50 most generous Americans and she remained among the top 50
until 2010. By 2012 she had given away about US $400 million to
educational causes.
By MARC NKWAME, Tanzania Daily News
Rihanna ni kama kadata sasa kwa kutembea utupu
Jumamosi, 6 Julai 2013
Dunia imeisha! Mama atengeneze filamu ya ngono na mwanae
| ||||
MWANAMKE mmoja Rebecca Atkinson mkazi wa
California nchini Marekani ametupwa jela kwa kosa la kufanya
mapenzi na mtoto wake wa kiume, akidiri pia kurekodi naye video za ngono.
Kwa miaka yote 15 iliyopita mtoto
huyo amekuwa akiishi na baba yake na bibi yake na hakuwa na mawasiliano
yoyote na mama yake hadi mwishoni mwa mwaka jana wakati mama yake kwa
kutumia facebook alipomtafuta na kuanza kuwasiliana naye na kumtumia
picha za utupu.
Mtoto huyo alijua fika kuwa Rebecca ni mama yake mzazi lakini alikuwa akiwasiliana naye wakitumiana picha za ngono.
Bibi wa mtoto hyo na ndugu zake
waliripoti polisi mwezi oktoba mwaka jana kuwa Rebecca anamtumia mtoto
wake picha za ngono kwa kupitia facebook.
Mtoto huyo ambaye polisi
walimuelezea kuwa "Hasikii la kuambiwa" alikuwa akitoroka nyumbani kwao
na kwenda kukutana na mama yake pamoja na kwamba kulikuwa na mipango
mingi ya kumzuia mtoto huyo kukutana na mama yake.
Polisi waliwavamia wawili hao walipokuwa wakila uroda hotelini mwezi machi mwaka huu.
Polisi walikuta video kwenye simu
ya mtoto huyo ambayo ilimuonyesha Rebecca akimnyonya mwanae sehemu zake
za siri kabla ya kufanya naye mapenzi. Video hiyo ilirekodiwa na mwanae
huyo wa kiume.
Rebecca alifunguliwa mashtaka ya
kufanya mapenzi na mwanae, kufanya mapenzi na mtoto chini ya umri wa
miaka 18 na kutengeneza video za ngono na mtoto.
Rebecca alijitetea kuwa
hakutakiwa kufunguliwa mashataka hayo kwakuwa kuna kitu kinachoitwa
"Mvuto wa Kinasaba" ambao huwa na nguvu kubwa ya kuwaunganisha ndugu
waliokuwa hawajaonana siku nyingi.
Hata hivyo utetezi wake
haukukubaliwa na jumatano ya wiki iliyopita hukumu ilitolewa ambapo
Rebecca alihukumiwa kwenda jela miaka minne na miezi 8.
|
WAZAZI WAUA MTOTO WAKIGOMBANIA CD YA DIAMOND
Vilio na simanzi vilitanda Jumatano iliyopita Mwananyamala Kisiwani, jijini Dar kufuatia mtoto wa mwaka mmoja, Rahim Rajab kufariki dunia kwa kuangukiwa na watu watatu, akiwemo baba yake mzazi, Rajab Said..
Tukio la watu hao
kumwangukia mtoto huyo lilitokea Jumatatu iliyopita na lilisababishwa na
ugomvi mkubwa wa CD yenye nyimbo za mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu
Abdul ‘Diamond’ ulioibuka ndani ya chumba cha kulala kati ya mama wa
marehemu na mpangaji mwenzake aitwaye Aisha.
Akizungumza
kwa machungu kuelezea tukio hilo, mama mzazi wa marehemu Rahim, Habiba
Ally alikiri kuwa kisa cha kifo cha mwanaye ni CD tu.Akasema:
"Kwa kweli hakuna kingine zaidi ya CD, naamini hivyo kwa kuwa mimi
sikuwa na ugomvi wowote na Aisha. Tulikuwa tunaishi kawaida tu ukiacha
mikwaruzo ya hapa na pale.”
Akaongeza: Jumamosi iliyopita,
Aisha alikuja ndani kwangu na CD zake tatu, ya Diamond, Kingwendu na ya
Coast Modern Taarab. Alipomaliza kuangalia aliziacha, akaondoka zake.
“Jumapili mimi nikaenda nazo kwa mama zote tatu kwa ajili ya kuziangalia, tulipomaliza na mimi niliziacha huko.
“Jumatatu usiku Aisha akaja kunidai, nikamwambia zipo kwa mama. Kwa kuwa anapajua anapoishi mama, si mbali akaenda kuzichukua zote tatu.
Ajabu aliporudi
tu, akaja tena kwangu na kusema hajapewa CD ya Diamond kitu ambacho si
kweli na ndipo ulipozuka ugomvi wote huo hadi kusababisha kifo cha
mwanangu.”
Akizungumza msibani juzi, bibi wa marehemu, Jamima Hassan
alisema siku ya tukio alipigiwa simu na mkwe wake (baba wa marehemu)
akamwambia kuna ugomvi nyumbani kwake unaohusu CD kati ya mkewe na
mpangaji mwenzake ambapo bibi huyo aliamua kwenda kutatua ugomvi huo.
“Niliondoka muda huohuo kwani huyo Aisha alitoka kwangu kuchukua CD zake muda mfupi tu, sasa nilijiuliza ni CD gani wanazogombania?
“Nilipofika
nilikuta ugomvi umepamba moto, baba wa mtoto na mume wa Aisha aitwaye
Shaban Sangali walikuwa wameungana kumtoa nje ya chumba Aisha bila
mafanikio.
“Wakati naingia, Aisha alikuwa akitukana matusi mazito na tulipojitahidi kumtoa nje alitusukuma kwa nguvu. Ndipo yeye, mume wake na baba wa mtoto waliwaangukia watoto waliokuwa wamelala kitandani,” alisema bibi huyo.
Akaendelea: Tulipowaangalia watoto ambao ni mapacha, hali zao zilikuwa mbaya, tukaamua kwenda kwa mjumbe wa mtaa kuripoti, akatupa barua, tukaenda Kituo cha Polisi Mwinyijuma, pale wakatupa PF3 ya kuwapeleka Hospitali ya Mwananyamala ambako walilazwa kwa matibabu.
Bibi huyo alisema siku iliyofuata, Rahim alifariki dunia, ikabidi waende Polisi Oysterbay ambapo walifungua shitaka lenye faili kwa kumbukumbu No. OB/RB/1150/2013 MAUAJI.
Watuhumiwa katika RB hiyo ni Aisha na mumewe, Sangali ambao walikamatwa na kufikishwa kituo cha polisi.
Majirani
waliozungumza na mwandishi wetu walisema wakati ugomvi kati ya Aisha na
Habiba unatookea, mume wa Habiba alikuwa anarudi kutoka kazini,
akakutana na kimbembe hicho.
Walisema aliingilia kati kuamua
bila mafanikio. Wakati huo mume wa Aisha alikuwa chumbani kwake na
amefungulia muziki wa redio kwa sauti ya juu hivyo hakujua nini
kinaendelea kwenye chumba cha mpangaji mwenzake.
Ikaelezwa kuwa, kuna watu walikwenda kumgongea na kumwambia mkewe anapigwa na mume wa Habiba kwa kushirikiana na mkewe.
Ilibidi
mwanaume huyo atoke mbio hadi chumbani kwenye ugomvi ambako alikuta
baba wa marehemu akijitahidi kuwaamulia wawili hao bila mafanikio.
Habari zinasema mwanaume huyo aliingilia kati kuongeza nguvu lakini katika hali ya kuwalemea, Aisha aliwasukuma wote na kisha wao kuwaangukia watoto hao mapacha waliokuwa wamelala kwenye kitanda kimoja.
Katika hali ya kusikitisha, marehemu amemuacha pacha mwenzake aitwaye Rahima Rajab ambaye ni kulwa.
Wengi
wanaamini kuwa maisha ya Rahima yangekuwa ya furaha zaidi kama Rahimu
angekuwepo na kwamba itamsononesha sana akikua na kusikia mwenzake
alifariki dunia kwa ugomvi wa mama yake na mpangaji mwenzao kisa ni CD
ya nyimbo za mwanamuziki.
GPL
GPL
Diamond 'ampima oil' shabiki wake
Sylona ndiye Redd’s Miss Temeke 2013
KISURA Sylona
Nyameyo jana usiku alifanikiwa kutwaa taji la Redd’s Miss Temeke lililofanyika
katika Ukumbi wa TCC Changombe, jijini Dar es Salaam.
Sylona mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM),
akisomea mambo ya sheria alifanikiwa kuwashinda warembo wengine na kufanikiwa
kujitwalia taji hilo.
Katika shindano
hilo lililokuwa na upinzani mkali, ulioambatana na burudani za kumwaga,
ilishuhudiwa nafasi ya pili ikienda kwa Marietha Boniface, ambaye naye ni
mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba Muhimbili (MUCHS).
Nafasi ya tatu
ilikwenda kwa Latifa Mohammed ambaye amemaliza kidato cha sita mwaka huu, hivyo
warembo hao kujihakikishia nafasi ya kuingia katika fainali za Redd’s Miss
Tanzania.
Ushindani
ulionekana dhahiri katika shindano hilo, ambapo warembo walikuwa wakichuana
mno, huku mashabiki waliojitokeza hapo wakijikuta wakishangilia muda wote.
Akizungumza
mara baada ya kuvikwa taji hilo, Sylona alisema amefurahishwa mno na matokeo
hayo na atahakikisha hawaangushi wakazi wa Temeke katika shindano la Redd’s
Miss Tanzania.
“Nilijua toka
mwanzo lazima niwashinde, maana nilijiamini na niliona nina vigezo vyote, sasa
ni wakati wa kwenda kupambana katika Redd’s Miss Tanzania ili kurudisha heshima
ya Temeke,” alisema.
Shindano la
Redd’s Miss Tanzania kwa sasa linadhaminiwa na kinywaji cha Redd’s Original
kinachozalishwa na kusambazwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL).
Baikoko wana balaa kuliko Khanga Moja?
BAADA ya kundi la Khanga Moja kuacha gumzo kubwa katika ziara yake ya Kanda ya Ziwa kwa kupigwa picha wakinengua utupu kama nchi haina serikali, safari hii imekuwa zamu ya kundi la Baikoko kutokea Tanga.
Kundi hilo ambalo linanengua muziki asilia wa chakacha na zile zenye asili ya mkoa wa Tanga, nalo limelipuka na picha za kudhalilisha kama zinavyoonekana hapo chini ambapo MICHARAZO inawaomba radhi kwa jinsi zilivyo, lakini lengo kutaka kuikumbusha serikali marufuku yao bado haifanyiwi kazi.
Jumatano, 3 Julai 2013
Muigizaji Meagan alivyotupia BET Awards 2013
Actress Meagan Good turned heads and made trending topics over the
weekend, when she stepped out in low-plunging, body-hugging blue dress
that showed off lots of leg and of course, boobs. [It was reminiscent of
J. Lo's infamous Versace Dress at the 2000 Grammys but a little
sexier.] Her choice of attire for the BET Awards was a major topic of
discussion, especially among Christians, since she is married to a
pastor, and she was also there to present the award for Best Gospel
Artist.
After folks raided her Instagram page with critiques and disapproval of her dress, Meg responded:
Jimama hili lambaka dogo wa miaka 14 rafiki wa mwanae
Mwanamama anayetuhumiwa kumbaka rafiki wa mwanae |
Katheryn L. Carmean, 35, was arrested in Seaford, Del. on Wednesday and
charged with ten counts of third-degree rape, continuous sexual abuse of a child and endangering the welfare of a child, according to a press release from the Delaware State Police.
Delaware Online reports that Carmean was arrested at Seaford Middle School where she works as a paraeducator who assists children with disabilities. She has been suspended from her position.
Carmean allegedly admitted to police that the two had sex about “40 times” from November 2011 to August 2012, according to Delaware Online.
Delaware State Police learned of the allegations after the boy told a family member about the relationship
and she alerted authorities. The boy was a friend of Carmean's son, according to the release.
The alleged victim told police he would "periodically" sleep over at Carmean's house, the release said.
Carmean is being held on a $57,000 secured bond.
SOURCE: http://www.babamzazi.com
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)