Jumapili, 28 Julai 2013

Kanye West, Kim Kardashian wafanya kufuru!

WASANII wachumba na maarufu nchini Marekani, Kanye West na Kim Kardashian katika nyumba yao yenye thamani ya dola Milioni 11 za Kimarekani kuna vitu vyenye thamani kubwa kama vitanda, jiko na makoche, ila kilicho make headline zaidi ni vyoo vyao vyenye thamani ya dola Milioni 1 za Kimarekani. 
Kwa mujibu wa HipHopWired.com, West na Kardashian wamenunua vyoo vinne vya Gold vyenye thamani ya dola milioni moja.
Ebu angalia hizo picha kisha jiulize hii ni nini kama siyo kufuru na jeuri ya fedha?

 
 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni