Jumamosi, 6 Julai 2013

Dunia imeisha! Mama atengeneze filamu ya ngono na mwanae



Rebecca Atkinson

MWANAMKE mmoja Rebecca Atkinson mkazi wa California nchini Marekani ametupwa jela kwa kosa la kufanya mapenzi na mtoto wake wa kiume, akidiri pia kurekodi naye video za ngono.
Rebecca,32, aliungana na mtoto wake kwa mara ya kwanza mwezi oktoba mwaka jana baada ya kutokumuona kwa miaka 15 baada ya kuachana na baba wa mtoto huyo. 
Kwa miaka yote 15 iliyopita mtoto huyo amekuwa akiishi na baba yake na bibi yake na hakuwa na mawasiliano yoyote na mama yake hadi mwishoni mwa mwaka jana wakati mama yake kwa kutumia facebook alipomtafuta na kuanza kuwasiliana naye na kumtumia picha za utupu. 
Mtoto huyo alijua fika kuwa Rebecca ni mama yake mzazi lakini alikuwa akiwasiliana naye wakitumiana picha za ngono. 
Bibi wa mtoto hyo na ndugu zake waliripoti polisi mwezi oktoba mwaka jana kuwa Rebecca anamtumia mtoto wake picha za ngono kwa kupitia facebook. 
Mtoto huyo ambaye polisi walimuelezea kuwa "Hasikii la kuambiwa" alikuwa akitoroka nyumbani kwao na kwenda kukutana na mama yake pamoja na kwamba kulikuwa na mipango mingi ya kumzuia mtoto huyo kukutana na mama yake. 
Polisi waliwavamia wawili hao walipokuwa wakila uroda hotelini mwezi machi mwaka huu. 
Polisi walikuta video kwenye simu ya mtoto huyo ambayo ilimuonyesha Rebecca akimnyonya mwanae sehemu zake za siri kabla ya kufanya naye mapenzi. Video hiyo ilirekodiwa na mwanae huyo wa kiume. 
Rebecca alifunguliwa mashtaka ya kufanya mapenzi na mwanae, kufanya mapenzi na mtoto chini ya umri wa miaka 18 na kutengeneza video za ngono na mtoto. 
Rebecca alijitetea kuwa hakutakiwa kufunguliwa mashataka hayo kwakuwa kuna kitu kinachoitwa "Mvuto wa Kinasaba" ambao huwa na nguvu kubwa ya kuwaunganisha ndugu waliokuwa hawajaonana siku nyingi. 
Hata hivyo utetezi wake haukukubaliwa na jumatano ya wiki iliyopita hukumu ilitolewa ambapo Rebecca alihukumiwa kwenda jela miaka minne na miezi 8.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni