BAADA ya kundi la Khanga Moja kuacha gumzo kubwa katika ziara yake ya
Kanda ya Ziwa kwa kupigwa picha wakinengua utupu kama nchi haina
serikali, safari hii imekuwa zamu ya kundi la Baikoko kutokea Tanga.
Kundi hilo ambalo linanengua muziki asilia wa chakacha na zile zenye
asili ya mkoa wa Tanga, nalo limelipuka na picha za kudhalilisha kama
zinavyoonekana hapo chini ambapo MICHARAZO inawaomba radhi kwa jinsi
zilivyo, lakini lengo kutaka kuikumbusha serikali marufuku yao bado
haifanyiwi kazi.
Dansa wa kundi hilo akimuonyesha manjonjo shabiki kwa mauno
Mnenguaji wa kundi hilo akionyesha staili ya kubana kalio
Huu ni uungwana?
Kwa unenguaji huu halafu tunapamba na ugonjwa wa UKIMWI, tutafika kweli?
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni