BINTI mdogo wa Rais Barack Obama, Sasha, alikua jijini New York hivi karibuni akifanya shopping huku amevaa
kikaptura kifupi (short shorts, al maarufu kama daisy dukes.).
Mapaparazzi walimpiga picha binti huyo akiwa mitaani na raha zake na
kuuliza mitandaoni kama ni sahihi kwa binti wa miaka 12, kuvaa kaptura
fupi hivyo.
Kama kawaida za mitandaoni, kilichozuka ni ubishi mkali kati
ya wanaoona si sahihi, hasa kwa binti ya rais, na wale wanaoona ni poa
tu.
Wewe upo kwenye camp ipi? Unaweza ruhusu binti yako avae kaptura
kama hii?
Binti mdogo wa rais Barack Obama, Sasha, alikua jijini New York hivi karibuni akifanya shopping huku
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni