WAKATI wa ziara yake ya siku tano barani Afrika akiwa nchini Senegal, Rais wa Marekani Barack Obama alinukuliwa na vyombo vya habari akiyasisitiza mataifa ya afrika kuhusu kutambua uwepo wa MASHOGA na kwamba haki zao za msingi ni lazima ziheshimiwe...
Kauli hiyo imewachefua wengi hasa viongozi wa dini nchini Kenya .
Jana, kiongozi wa kiislamu alimuuliza Obama swali gumu sana kwamba "Atajisikiaje endapo atabaini kuwa watoto wake wa kike Sasha na Malia ni WASAGAJI?"
Kwa mtazamo huo huo, Wakenya nao wamepaza sauti zao na kumhoji Obama kwamba "Angeupataje urais wa Marekani kama baba yake mzazi angalikuwa ni SHOGA wa kuliwa 'ndogo'.
Waafrika wengi wameanza kumuona Obama kama mtu msaliti na mbinafsi.
Yeye
alizaliwa baada ya wazazi wake kukutana kimwili, mama akabeba
mimba na hatimaye akamzaa yeye. Mungu akambariki, leo hii ni
Rais wa taifa kubwa duniani. Iwaje yeye azunguke duniani na kutetea mambo ya USHOGA na ndoa za jinsia moja? Huo ni ubinafsi..Sitaki niseme mengi.
Credti: Kenyan Daily Post
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni