Rais Obama na mkewe Michelle Obama wakionyesha malavidavi kabla ya kupanda ndege yao kuiaga Tanzania baara ya ziara ya siku mbili nchini. |
Wakiwa wameshikana kiuno kuelekea kwenye Airforce One yao |
Wakipunga mkono kuashiria kuwaaga Watanzania hususan mwenyeji wake, Rais Jakaya Kikwete. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni